Native Bible

Romans 9:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata.

Romans 9:31 in English

Romans 9:31 · Berean Standard Bible

but Israel, who pursued a law of righteousness, has not attained it.

Context

29Ni kama vile alivyotabiri Isaya akisema: “Kama Bwana Mwenye Nguvu Zote asingelituachia uzao, tungelikuwa kama Sodoma, tungelifanana na Gomora.” 30Kwa hiyo tuseme nini basi? Kwamba watu wa Mataifa ambao hawakutafuta haki, wamepata haki ile iliyo kwa njia ya imani. 31Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata. 32Kwa nini? Kwa sababu hawakuitafuta kwa njia ya imani bali kwa njia ya matendo. Wakajikwaa kwenye lile “jiwe la kukwaza.” 33Kama ilivyoandikwa: “Tazama naweka katika Sayuni jiwe la kukwaza watu na mwamba wa kuwaangusha. Yeyote atakayemwamini hataaibika kamwe.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.