Warumi 9:32
Romans 9:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa nini? Kwa sababu hawakuitafuta kwa njia ya imani bali kwa njia ya matendo. Wakajikwaa kwenye lile “jiwe la kukwaza.”
Romans 9:32 in English
Romans 9:32 · Berean Standard Bible
Why not? Because their pursuit was not by faith, but as if it were by works. They stumbled over the stumbling stone,
Context
30Kwa hiyo tuseme nini basi? Kwamba watu wa Mataifa ambao hawakutafuta haki, wamepata haki ile iliyo kwa njia ya imani. 31Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata. 32Kwa nini? Kwa sababu hawakuitafuta kwa njia ya imani bali kwa njia ya matendo. Wakajikwaa kwenye lile “jiwe la kukwaza.” 33Kama ilivyoandikwa:
“Tazama naweka katika Sayuni jiwe la kukwaza watu
na mwamba wa kuwaangusha.
Yeyote atakayemwamini
hataaibika kamwe.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.