Warumi 9:33
Romans 9:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama ilivyoandikwa: “Tazama naweka katika Sayuni jiwe la kukwaza watu na mwamba wa kuwaangusha. Yeyote atakayemwamini hataaibika kamwe.”
Romans 9:33 in English
Romans 9:33 · Berean Standard Bible
as it is written: “See, I lay in Zion a stone of stumbling and a rock of offense;* and the one who believes in Him will never be put to shame.”*
Context
31Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata. 32Kwa nini? Kwa sababu hawakuitafuta kwa njia ya imani bali kwa njia ya matendo. Wakajikwaa kwenye lile “jiwe la kukwaza.” 33Kama ilivyoandikwa:
“Tazama naweka katika Sayuni jiwe la kukwaza watu
na mwamba wa kuwaangusha.
Yeyote atakayemwamini
hataaibika kamwe.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.