Warumi 9:30
Romans 9:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo tuseme nini basi? Kwamba watu wa Mataifa ambao hawakutafuta haki, wamepata haki ile iliyo kwa njia ya imani.
Romans 9:30 in English
Romans 9:30 · Berean Standard Bible
What then will we say? That the Gentiles, who did not pursue righteousness, have obtained it, a righteousness that is by faith;
Context
28Kwa kuwa Bwana ataitekeleza
hukumu yake duniani kwa haraka
na kwa ukamilifu.” 29Ni kama vile alivyotabiri Isaya akisema:
“Kama Bwana Mwenye Nguvu Zote
asingelituachia uzao,
tungelikuwa kama Sodoma,
tungelifanana na Gomora.” 30Kwa hiyo tuseme nini basi? Kwamba watu wa Mataifa ambao hawakutafuta haki, wamepata haki ile iliyo kwa njia ya imani. 31Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata. 32Kwa nini? Kwa sababu hawakuitafuta kwa njia ya imani bali kwa njia ya matendo. Wakajikwaa kwenye lile “jiwe la kukwaza.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.