Warumi 9:28
Romans 9:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa Bwana ataitekeleza hukumu yake duniani kwa haraka na kwa ukamilifu.”
Romans 9:28 in English
Romans 9:28 · Berean Standard Bible
For the Lord will carry out His sentence on the earth thoroughly and decisively.”*
Context
26tena,
“Itakuwa hasa mahali pale walipoambiwa,
‘Ninyi si watu wangu,’
wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’ ” 27Isaya anapiga kelele kuhusu Israeli:
“Ingawa idadi ya wana wa Israeli
ni wengi kama mchanga wa pwani,
ni mabaki yao tu watakaookolewa. 28Kwa kuwa Bwana ataitekeleza
hukumu yake duniani kwa haraka
na kwa ukamilifu.” 29Ni kama vile alivyotabiri Isaya akisema:
“Kama Bwana Mwenye Nguvu Zote
asingelituachia uzao,
tungelikuwa kama Sodoma,
tungelifanana na Gomora.” 30Kwa hiyo tuseme nini basi? Kwamba watu wa Mataifa ambao hawakutafuta haki, wamepata haki ile iliyo kwa njia ya imani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.