Native Bible

Psalms 9:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waovu wataishia kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu.

Psalms 9:17 in English

Psalms 9:17 · Berean Standard Bible

The wicked will return to Sheol— all the nations who forget God.

Context

15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha. 16Bwana anajulikana kwa haki yake, waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao. 17Waovu wataishia kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu. 18Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, wala matumaini ya walioonewa hayatapotea. 19Ee Bwana, inuka, usimwache binadamu ashinde. Mataifa na yahukumiwe mbele zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.