Native Bible

Psalms 9:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha.

Psalms 9:15 in English

Psalms 9:15 · Berean Standard Bible

The nations have fallen into a pit of their making; their feet are caught in the net they have hidden.

Context

13Ee Bwana, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa! Nihurumie, uniinue kutoka malango ya mauti, 14ili niweze kutangaza sifa zako katika malango ya Binti Sayuni na huko niushangilie wokovu wako. 15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha. 16Bwana anajulikana kwa haki yake, waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao. 17Waovu wataishia kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.