Native Bible

Psalms 9:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana anajulikana kwa haki yake, waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao.

Psalms 9:16 in English

Psalms 9:16 · Berean Standard Bible

The LORD is known by the justice He brings; the wicked are ensnared by the work of their hands. Higgaion Selah *

Context

14ili niweze kutangaza sifa zako katika malango ya Binti Sayuni na huko niushangilie wokovu wako. 15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha. 16Bwana anajulikana kwa haki yake, waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao. 17Waovu wataishia kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu. 18Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, wala matumaini ya walioonewa hayatapotea.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.