Zaburi 9:14
Psalms 9:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili niweze kutangaza sifa zako katika malango ya Binti Sayuni na huko niushangilie wokovu wako.
Psalms 9:14 in English
Psalms 9:14 · Berean Standard Bible
that I may declare all Your praises— that within the gates of Daughter Zion I may rejoice in Your salvation.
Context
12Kwa maana yeye alipizaye kisasi cha damu hukumbuka,
hapuuzi kilio cha wanaoonewa. 13Ee Bwana, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa!
Nihurumie, uniinue kutoka malango ya mauti, 14ili niweze kutangaza sifa zako
katika malango ya Binti Sayuni
na huko niushangilie wokovu wako. 15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba,
miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha. 16Bwana anajulikana kwa haki yake,
waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.