Native Bible

Psalms 9:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa! Nihurumie, uniinue kutoka malango ya mauti,

Psalms 9:13 in English

Psalms 9:13 · Berean Standard Bible

Be merciful to me, O LORD; see how my enemies afflict me! Lift me up from the gates of death,

Context

11Mwimbieni Bwana sifa, amefanywa mtawala Sayuni, tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda. 12Kwa maana yeye alipizaye kisasi cha damu hukumbuka, hapuuzi kilio cha wanaoonewa. 13Ee Bwana, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa! Nihurumie, uniinue kutoka malango ya mauti, 14ili niweze kutangaza sifa zako katika malango ya Binti Sayuni na huko niushangilie wokovu wako. 15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.