Native Bible

Psalms 9:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, wala matumaini ya walioonewa hayatapotea.

Psalms 9:18 in English

Psalms 9:18 · Berean Standard Bible

For the needy will not always be forgotten; nor the hope of the oppressed forever dashed.

Context

16Bwana anajulikana kwa haki yake, waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao. 17Waovu wataishia kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu. 18Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, wala matumaini ya walioonewa hayatapotea. 19Ee Bwana, inuka, usimwache binadamu ashinde. Mataifa na yahukumiwe mbele zako. 20Ee Bwana, wapige kwa hofu, mataifa na yajue kuwa wao ni watu tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.