Native Bible

Psalms 9:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, inuka, usimwache binadamu ashinde. Mataifa na yahukumiwe mbele zako.

Psalms 9:19 in English

Psalms 9:19 · Berean Standard Bible

Rise up, O LORD, do not let man prevail; let the nations be judged in Your presence.

Context

17Waovu wataishia kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu. 18Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, wala matumaini ya walioonewa hayatapotea. 19Ee Bwana, inuka, usimwache binadamu ashinde. Mataifa na yahukumiwe mbele zako. 20Ee Bwana, wapige kwa hofu, mataifa na yajue kuwa wao ni watu tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.