Native Bible

Psalms 9:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, wapige kwa hofu, mataifa na yajue kuwa wao ni watu tu.

Psalms 9:20 in English

Psalms 9:20 · Berean Standard Bible

Lay terror upon them, O LORD; let the nations know they are but men. Selah

Context

18Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, wala matumaini ya walioonewa hayatapotea. 19Ee Bwana, inuka, usimwache binadamu ashinde. Mataifa na yahukumiwe mbele zako. 20Ee Bwana, wapige kwa hofu, mataifa na yajue kuwa wao ni watu tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.