Native Bible

Psalms 89:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu!

Psalms 89:47 in English

Psalms 89:47 · Berean Standard Bible

Remember the briefness of my lifespan! For what futility You have created all men!

Context

45Umezifupisha siku za ujana wake, umemfunika kwa vazi la aibu. 46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele? Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini? 47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 48Ni mtu gani awezaye kuishi na asione kifo, au kujiokoa mwenyewe kutoka nguvu za kaburi?* 49Ee Bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni, ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.