Zaburi 89:48
Psalms 89:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni mtu gani awezaye kuishi na asione kifo, au kujiokoa mwenyewe kutoka nguvu za kaburi?*
Psalms 89:48 in English
Psalms 89:48 · Berean Standard Bible
What man can live and never see death? Can he deliver his soul from the power of Sheol? Selah
Context
46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele?
Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini? 47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka.
Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 48Ni mtu gani awezaye kuishi na asione kifo,
au kujiokoa mwenyewe kutoka nguvu za kaburi?* 49Ee Bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni,
ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi? 50Bwana kumbuka jinsi mtumishi wako amesimangwa,
jinsi ninavyovumilia moyoni mwangu dhihaka za mataifa yote,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.