Zaburi 89:46
Psalms 89:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele? Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini?
Psalms 89:46 in English
Psalms 89:46 · Berean Standard Bible
How long, O LORD? Will You hide Yourself forever? Will Your wrath keep burning like fire?
Context
44Umeikomesha fahari yake,
na kukiangusha kiti chake cha enzi. 45Umezifupisha siku za ujana wake,
umemfunika kwa vazi la aibu. 46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele?
Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini? 47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka.
Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 48Ni mtu gani awezaye kuishi na asione kifo,
au kujiokoa mwenyewe kutoka nguvu za kaburi?*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.