Zaburi 89:44
Psalms 89:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umeikomesha fahari yake, na kukiangusha kiti chake cha enzi.
Psalms 89:44 in English
Psalms 89:44 · Berean Standard Bible
You have ended his splendor and cast his throne to the ground.
Context
42Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake,
umewafanya watesi wake wote washangilie. 43Umegeuza makali ya upanga wake,
na hukumpa msaada katika vita. 44Umeikomesha fahari yake,
na kukiangusha kiti chake cha enzi. 45Umezifupisha siku za ujana wake,
umemfunika kwa vazi la aibu. 46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele?
Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.