Native Bible

Psalms 89:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita.

Psalms 89:43 in English

Psalms 89:43 · Berean Standard Bible

You have bent the edge of his sword and have not sustained him in battle.

Context

41Wote wapitao karibu wamemnyangʼanya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake. 42Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake, umewafanya watesi wake wote washangilie. 43Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita. 44Umeikomesha fahari yake, na kukiangusha kiti chake cha enzi. 45Umezifupisha siku za ujana wake, umemfunika kwa vazi la aibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.