Native Bible

Psalms 89:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wote wapitao karibu wamemnyangʼanya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake.

Psalms 89:41 in English

Psalms 89:41 · Berean Standard Bible

All who pass by plunder him; he has become a reproach to his neighbors.

Context

39Umelikana agano lako na mtumishi wako, na umeinajisi taji yake mavumbini. 40Umebomoa kuta zake zote, na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu. 41Wote wapitao karibu wamemnyangʼanya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake. 42Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake, umewafanya watesi wake wote washangilie. 43Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.