Native Bible

Psalms 89:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umebomoa kuta zake zote, na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu.

Psalms 89:40 in English

Psalms 89:40 · Berean Standard Bible

You have broken down all his walls; You have reduced his strongholds to rubble.

Context

38Lakini wewe umemkataa, umemdharau, umemkasirikia sana mpakwa mafuta wako. 39Umelikana agano lako na mtumishi wako, na umeinajisi taji yake mavumbini. 40Umebomoa kuta zake zote, na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu. 41Wote wapitao karibu wamemnyangʼanya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake. 42Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake, umewafanya watesi wake wote washangilie.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.