Zaburi 89:39
Psalms 89:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umelikana agano lako na mtumishi wako, na umeinajisi taji yake mavumbini.
Psalms 89:39 in English
Psalms 89:39 · Berean Standard Bible
You have renounced the covenant with Your servant and sullied his crown in the dust.
Context
37kitaimarishwa milele kama mwezi,
shahidi mwaminifu angani.” 38Lakini wewe umemkataa, umemdharau,
umemkasirikia sana mpakwa mafuta wako. 39Umelikana agano lako na mtumishi wako,
na umeinajisi taji yake mavumbini. 40Umebomoa kuta zake zote,
na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu. 41Wote wapitao karibu wamemnyangʼanya mali zake;
amekuwa dharau kwa jirani zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.