Native Bible

Psalms 89:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kitaimarishwa milele kama mwezi, shahidi mwaminifu angani.”

Psalms 89:37 in English

Psalms 89:37 · Berean Standard Bible

like the moon, established forever, a faithful witness in the sky.” Selah

Context

35Mara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu, nami sitamdanganya Daudi: 36kwamba uzao wake utaendelea milele, na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua; 37kitaimarishwa milele kama mwezi, shahidi mwaminifu angani.” 38Lakini wewe umemkataa, umemdharau, umemkasirikia sana mpakwa mafuta wako. 39Umelikana agano lako na mtumishi wako, na umeinajisi taji yake mavumbini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.