Zaburi 89:36
Psalms 89:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwamba uzao wake utaendelea milele, na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua;
Psalms 89:36 in English
Psalms 89:36 · Berean Standard Bible
his offspring shall endure forever, and his throne before Me like the sun,
Context
34Mimi sitavunja agano langu
wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka. 35Mara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu,
nami sitamdanganya Daudi: 36kwamba uzao wake utaendelea milele,
na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua; 37kitaimarishwa milele kama mwezi,
shahidi mwaminifu angani.” 38Lakini wewe umemkataa, umemdharau,
umemkasirikia sana mpakwa mafuta wako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.