Native Bible

Psalms 89:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu, nami sitamdanganya Daudi:

Psalms 89:35 in English

Psalms 89:35 · Berean Standard Bible

Once and for all I have sworn by My holiness— I will not lie to David—

Context

33lakini sitauondoa upendo wangu kwake, wala sitausaliti uaminifu wangu kamwe. 34Mimi sitavunja agano langu wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka. 35Mara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu, nami sitamdanganya Daudi: 36kwamba uzao wake utaendelea milele, na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua; 37kitaimarishwa milele kama mwezi, shahidi mwaminifu angani.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.