Native Bible

Psalms 89:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini sitauondoa upendo wangu kwake, wala sitausaliti uaminifu wangu kamwe.

Psalms 89:33 in English

Psalms 89:33 · Berean Standard Bible

But I will not withdraw My loving devotion from him, nor ever betray My faithfulness.

Context

31kama wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu, 32nitaadhibu dhambi yao kwa fimbo, uovu wao kwa kuwapiga, 33lakini sitauondoa upendo wangu kwake, wala sitausaliti uaminifu wangu kamwe. 34Mimi sitavunja agano langu wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka. 35Mara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu, nami sitamdanganya Daudi:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.