Native Bible

Psalms 89:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kama wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu,

Psalms 89:31 in English

Psalms 89:31 · Berean Standard Bible

if they violate My statutes and fail to keep My commandments,

Context

29Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu. 30“Kama wanae wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu, 31kama wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu, 32nitaadhibu dhambi yao kwa fimbo, uovu wao kwa kuwapiga, 33lakini sitauondoa upendo wangu kwake, wala sitausaliti uaminifu wangu kamwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.