Zaburi 89:29
Psalms 89:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu.
Psalms 89:29 in English
Psalms 89:29 · Berean Standard Bible
I will establish his line forever, his throne as long as the heavens endure.
Context
27Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza,
aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia. 28Nitadumisha upendo wangu kwake milele,
na agano langu naye litakuwa imara. 29Nitaudumisha uzao wake milele,
kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu. 30“Kama wanae wataacha amri yangu
na wasifuate sheria zangu, 31kama wakihalifu maagizo yangu
na kutoshika amri zangu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.