Native Bible

Psalms 89:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia.

Psalms 89:27 in English

Psalms 89:27 · Berean Standard Bible

I will indeed appoint him as My firstborn, the highest of the kings of the earth.

Context

25Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito. 26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 27Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia. 28Nitadumisha upendo wangu kwake milele, na agano langu naye litakuwa imara. 29Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.