Native Bible

Psalms 89:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitadumisha upendo wangu kwake milele, na agano langu naye litakuwa imara.

Psalms 89:28 in English

Psalms 89:28 · Berean Standard Bible

I will forever preserve My loving devotion for him, and My covenant with him will stand fast.

Context

26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 27Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia. 28Nitadumisha upendo wangu kwake milele, na agano langu naye litakuwa imara. 29Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu. 30“Kama wanae wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.