Native Bible

Psalms 89:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama wanae wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu,

Psalms 89:30 in English

Psalms 89:30 · Berean Standard Bible

If his sons forsake My law and do not walk in My judgments,

Context

28Nitadumisha upendo wangu kwake milele, na agano langu naye litakuwa imara. 29Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu. 30“Kama wanae wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu, 31kama wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu, 32nitaadhibu dhambi yao kwa fimbo, uovu wao kwa kuwapiga,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.