Zaburi 89:26
Psalms 89:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’
Psalms 89:26 in English
Psalms 89:26 · Berean Standard Bible
He will call to Me, ‘You are my Father, my God, the Rock of my salvation.’
Context
24Upendo wangu mkamilifu utakuwa pamoja naye,
kwa Jina langu pembe yake itatukuzwa. 25Nitauweka mkono wake juu ya bahari,
mkono wake wa kuume juu ya mito. 26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu,
Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 27Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza,
aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia. 28Nitadumisha upendo wangu kwake milele,
na agano langu naye litakuwa imara.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.