Native Bible

Psalms 89:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito.

Psalms 89:25 in English

Psalms 89:25 · Berean Standard Bible

I will set his hand over the sea, and his right hand upon the rivers.

Context

23Nitawaponda adui zake mbele zake na kuwaangamiza watesi wake. 24Upendo wangu mkamilifu utakuwa pamoja naye, kwa Jina langu pembe yake itatukuzwa. 25Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito. 26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 27Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.