Native Bible

Psalms 89:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Upendo wangu mkamilifu utakuwa pamoja naye, kwa Jina langu pembe yake itatukuzwa.

Psalms 89:24 in English

Psalms 89:24 · Berean Standard Bible

My faithfulness and loving devotion will be with him, and through My name his horn will be exalted.

Context

22Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemwonea. 23Nitawaponda adui zake mbele zake na kuwaangamiza watesi wake. 24Upendo wangu mkamilifu utakuwa pamoja naye, kwa Jina langu pembe yake itatukuzwa. 25Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito. 26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.