Native Bible

Psalms 89:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umezifupisha siku za ujana wake, umemfunika kwa vazi la aibu.

Psalms 89:45 in English

Psalms 89:45 · Berean Standard Bible

You have cut short the days of his youth; You have covered him with shame. Selah

Context

43Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita. 44Umeikomesha fahari yake, na kukiangusha kiti chake cha enzi. 45Umezifupisha siku za ujana wake, umemfunika kwa vazi la aibu. 46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele? Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini? 47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.