Native Bible

Psalms 89:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa, wanafurahi katika haki yako.

Psalms 89:16 in English

Psalms 89:16 · Berean Standard Bible

They rejoice in Your name all day long, and in Your righteousness they exult.

Context

14Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia. 15Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee Bwana. 16Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa, wanafurahi katika haki yako. 17Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe* yetu. 18Naam, ngao yetu ni mali ya Bwana, na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.