Native Bible

Psalms 89:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee Bwana.

Psalms 89:15 in English

Psalms 89:15 · Berean Standard Bible

Blessed are those who know the joyful sound, who walk, O LORD, in the light of Your presence.

Context

13Mkono wako umejaa uwezo; mkono wako una nguvu, mkono wako wa kuume umetukuzwa. 14Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia. 15Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee Bwana. 16Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa, wanafurahi katika haki yako. 17Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe* yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.