Native Bible

Psalms 89:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia.

Psalms 89:14 in English

Psalms 89:14 · Berean Standard Bible

Righteousness and justice are the foundation of Your throne; loving devotion and faithfulness go before You.

Context

12Uliumba kaskazini na kusini; Tabori na Hermoni wanaliimbia jina lako kwa furaha. 13Mkono wako umejaa uwezo; mkono wako una nguvu, mkono wako wa kuume umetukuzwa. 14Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia. 15Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee Bwana. 16Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa, wanafurahi katika haki yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.