Native Bible

Psalms 89:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkono wako umejaa uwezo; mkono wako una nguvu, mkono wako wa kuume umetukuzwa.

Psalms 89:13 in English

Psalms 89:13 · Berean Standard Bible

Mighty is Your arm; strong is Your hand. Your right hand is exalted.

Context

11Mbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako, uliuwekea ulimwengu msingi pamoja na vyote vilivyomo. 12Uliumba kaskazini na kusini; Tabori na Hermoni wanaliimbia jina lako kwa furaha. 13Mkono wako umejaa uwezo; mkono wako una nguvu, mkono wako wa kuume umetukuzwa. 14Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi; upendo na uaminifu vinakutangulia. 15Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.