Native Bible

Psalms 89:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe* yetu.

Psalms 89:17 in English

Psalms 89:17 · Berean Standard Bible

For You are the glory of their strength, and by Your favor our horn is exalted.

Context

15Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, wanaotembea katika mwanga wa uwepo wako, Ee Bwana. 16Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa, wanafurahi katika haki yako. 17Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe* yetu. 18Naam, ngao yetu ni mali ya Bwana, na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 19Ulizungumza wakati fulani katika maono, kwa watu wako waaminifu, ukasema: “Nimeweka nguvu kwa shujaa, nimemwinua kijana miongoni mwa watu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.