Native Bible

Psalms 89:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naam, ngao yetu ni mali ya Bwana, na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli.

Psalms 89:18 in English

Psalms 89:18 · Berean Standard Bible

Surely our shield belongs to the LORD, and our king to the Holy One of Israel.

Context

16Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa, wanafurahi katika haki yako. 17Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao, kwa wema wako unatukuza pembe* yetu. 18Naam, ngao yetu ni mali ya Bwana, na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 19Ulizungumza wakati fulani katika maono, kwa watu wako waaminifu, ukasema: “Nimeweka nguvu kwa shujaa, nimemwinua kijana miongoni mwa watu. 20Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, na nimemtia mafuta yangu matakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.