Zaburi 89:20
Psalms 89:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, na nimemtia mafuta yangu matakatifu.
Psalms 89:20 in English
Psalms 89:20 · Berean Standard Bible
I have found My servant David; with My sacred oil I have anointed him.
Context
18Naam, ngao yetu ni mali ya Bwana,
na mfalme wetu mali ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 19Ulizungumza wakati fulani katika maono,
kwa watu wako waaminifu, ukasema:
“Nimeweka nguvu kwa shujaa,
nimemwinua kijana miongoni mwa watu. 20Nimemwona Daudi, mtumishi wangu,
na nimemtia mafuta yangu matakatifu. 21Kitanga changu kitamtegemeza,
hakika mkono wangu utamtia nguvu. 22Hakuna adui atakayemtoza ushuru,
hakuna mtu mwovu atakayemwonea.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.