Native Bible

Psalms 89:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kitanga changu kitamtegemeza, hakika mkono wangu utamtia nguvu.

Psalms 89:21 in English

Psalms 89:21 · Berean Standard Bible

My hand will sustain him; surely My arm will strengthen him.

Context

19Ulizungumza wakati fulani katika maono, kwa watu wako waaminifu, ukasema: “Nimeweka nguvu kwa shujaa, nimemwinua kijana miongoni mwa watu. 20Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, na nimemtia mafuta yangu matakatifu. 21Kitanga changu kitamtegemeza, hakika mkono wangu utamtia nguvu. 22Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemwonea. 23Nitawaponda adui zake mbele zake na kuwaangamiza watesi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.