Native Bible

Psalms 88:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote.

Psalms 88:7 in English

Psalms 88:7 · Berean Standard Bible

Your wrath weighs heavily upon me; all Your waves have submerged me. Selah

Context

5Nimetengwa pamoja na wafu, kama waliochinjwa walalao kaburini, ambao huwakumbuki tena, ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako. 6Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene. 7Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote. 8Umenitenga na rafiki zangu wa karibu na kunifanya chukizo kwao. Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka; 9nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee Bwana, ninakuita kila siku, ninakunyooshea wewe mikono yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.