Native Bible

Psalms 88:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee Bwana, ninakuita kila siku, ninakunyooshea wewe mikono yangu.

Psalms 88:9 in English

Psalms 88:9 · Berean Standard Bible

My eyes grow dim with grief. I call to You daily, O LORD; I spread out my hands to You.

Context

7Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote. 8Umenitenga na rafiki zangu wa karibu na kunifanya chukizo kwao. Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka; 9nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee Bwana, ninakuita kila siku, ninakunyooshea wewe mikono yangu. 10Je, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu? 11Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika Uharibifu?*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.