Native Bible

Psalms 88:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umenitenga na rafiki zangu wa karibu na kunifanya chukizo kwao. Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka;

Psalms 88:8 in English

Psalms 88:8 · Berean Standard Bible

You have removed my friends from me; You have made me repulsive to them; I am confined and cannot escape.

Context

6Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene. 7Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote. 8Umenitenga na rafiki zangu wa karibu na kunifanya chukizo kwao. Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka; 9nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee Bwana, ninakuita kila siku, ninakunyooshea wewe mikono yangu. 10Je, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.