Native Bible

Psalms 88:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene.

Psalms 88:6 in English

Psalms 88:6 · Berean Standard Bible

You have laid me in the lowest Pit, in the darkest of the depths.

Context

4Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, niko kama mtu asiye na nguvu. 5Nimetengwa pamoja na wafu, kama waliochinjwa walalao kaburini, ambao huwakumbuki tena, ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako. 6Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene. 7Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote. 8Umenitenga na rafiki zangu wa karibu na kunifanya chukizo kwao. Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.