Native Bible

Psalms 88:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, niko kama mtu asiye na nguvu.

Psalms 88:4 in English

Psalms 88:4 · Berean Standard Bible

I am counted among those descending to the Pit. I am like a man without strength.

Context

2Maombi yangu yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako. 3Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, na maisha yangu yanakaribia kaburi.* 4Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, niko kama mtu asiye na nguvu. 5Nimetengwa pamoja na wafu, kama waliochinjwa walalao kaburini, ambao huwakumbuki tena, ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako. 6Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.