Native Bible

Psalms 88:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimetengwa pamoja na wafu, kama waliochinjwa walalao kaburini, ambao huwakumbuki tena, ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako.

Psalms 88:5 in English

Psalms 88:5 · Berean Standard Bible

I am forsaken among the dead, like the slain who lie in the grave, whom You remember no more, who are cut off from Your care.

Context

3Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, na maisha yangu yanakaribia kaburi.* 4Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, niko kama mtu asiye na nguvu. 5Nimetengwa pamoja na wafu, kama waliochinjwa walalao kaburini, ambao huwakumbuki tena, ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako. 6Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene. 7Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.