Native Bible

Psalms 88:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika Uharibifu?*

Psalms 88:11 in English

Psalms 88:11 · Berean Standard Bible

Can Your loving devotion be proclaimed in the grave, Your faithfulness in Abaddon *?

Context

9nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee Bwana, ninakuita kila siku, ninakunyooshea wewe mikono yangu. 10Je, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu? 11Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika Uharibifu?* 12Je, maajabu yako hujulikana mahali pa giza, au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu? 13Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie; asubuhi maombi yangu huja mbele zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.