Zaburi 88:13
Psalms 88:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie; asubuhi maombi yangu huja mbele zako.
Psalms 88:13 in English
Psalms 88:13 · Berean Standard Bible
But to You, O LORD, I cry for help; in the morning my prayer comes before You.
Context
11Je, upendo wako hutangazwa kaburini,
uaminifu wako katika Uharibifu?* 12Je, maajabu yako hujulikana mahali pa giza,
au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu? 13Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie;
asubuhi maombi yangu huja mbele zako. 14Ee Bwana, kwa nini unanikataa
na kunificha uso wako? 15Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo;
nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.